Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi Gazeti la Mfanyakazi wakati
wa kilele cha Sherehe ya Sikukuu ya Wafanyakazi,Mei mosi zilizofanyika
kitaifa katika uwanja wa michezo wa Sokoine mkoani Mbeya.kushoto ni Kaimu
Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Bi.Nortiburga Maskini na kulia
ni Katibu mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Ndugu Nicholaus
Mgaya (picha na Freddy Maro)