MAHAFALI 15 YA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI (DSJ)
Wahitimu wa Stashahada ya Uandishi wa habari,wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi,Katibu wa baraza la habari Tanzania,Kajubi Mkajanga aliyeko katikati.Wengine ni Mkuu wa Chuo kwa Sasa ni Mjumbe wa Bodi,Rev.Wilson Chiduo.
Mwandishi wa Habari,Eva-Sweet I. Musiba,akijiandaa kupiga picha ya pamoja na mgeni Rasmi.
Eva-Sweet I. Musiba akiwa na furaha baada ya kuhitimu na kupata Stashahada ya Uandishi wa Habari,Katika Hostel(Bweni),aliyokuwa anaishi,YWCA,(KICHWELE).Barabara ya Buguruni Malapa.
Baadhi wa wageni waliopata fursa ya kutoa pongezi zao kwa mhitimu,Eva-Sweet.Ndugu, Juve wa Buguruni gereji akiweka saini katika kadi ya wageni aliyokuwa ameiandaa mhitimu huyo.
No comments:
Post a Comment