MWENYEKITI wa CCM, Dk.Jakaya Kikwete atafungua kikao cha kamati Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi katika ofisi ndogo ya Makao Makuu iliyoko Lumumba jijini Dar es Salaam ambayo pamoja na mambo mengine agenda za kikao hicho ni pamoja na mapendekezo ya Wana CCM watakaogombea nafasi ya Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini.
No comments:
Post a Comment