DIWANI wa Wilaya ya Musoma mjini, aliyekaa madarakani tangu TANU hadi CCM.
Alifariki Mwaka 1977 mwaka ambao kilizaliwa Chama cha Mapinduzi CCM.
Hayati Lucas Thomas Musiba,wa Mtaa wa Kennedy No.52.
Aliacha Mke na Mtoto Mmoja,PEARL LUCAS MUSIBA,lakini kwa sasa mwanae huyo ana mabinti wawili
Comfort Severa Abdulham Mzamili Maembe ambaye ni Mwalimu Shule ya Sekondari Mara ambapo Betty Tibasana ni mwanafunzi katika Shule ya Sekondari ya RAJAN iliyoko Shinyanga.
Mungu ailaze roho ya Marehemu pema peponi.
No comments:
Post a Comment