
MKUU wa Mkoa wa Iringa,Mohamed Abdulaziz akiwa na baadhi ya maafisa wa Kilimo wakiangalia zao la lililokomaa,ambalo lililimwa Disemba Mosi mwaka jana na liko tayari kuvunwa,Pia amesisitiza wakazi wa Wilya hiyo kulima zao hilo kwa wingi.
Picha Na:Anita Boma.

KATIBU MKUU wa CCM, Yusufu Makamba akikabidhiwa Picha na Mtoto wa Marehemu Mzee Marhua, aliyekuwa Mwanasiasa Mkongwe Mkoani Iringa ,Rajan Marhua ili aiweke ukutani kama kumbukumbu ya baba yao ,wakati Katibu huyo alipoenda kutoa pole kwa watoto na mke wa marehemu,mzee Marhua alifariki miezi miwili iliyopita mjini Iringa,
( Picha Na: Anita Boma)
No comments:
Post a Comment