MTOTO Andrew Sweet Baraka Ivan Kakana akiwa nje ya nyumba ya bibi yake,Suzana Masanga Matara,iliyoko Nyakato mjini Musoma Mkoa wa Mara,Andrew ni mtoto pekee kwa mama yake Eva-sweet I. Musiba ambaye ni mmiliki wa Blog hii. Na Mwandishi wa Habari magazeti ya Chama dume CCM.

Andrew akiwa na Kaka zake katika ufukwe wa Tembo beach Tarehe 25.12.2009 na kaka zake ambao ni watoto wa Wadogo zake Eva-Sweet katikati ni Israel Winnie Musiba na Dickson(Israel) Lucas Musiba ambaye ndiye anayemfuatia Eva-Sweet.

Lucas alipewa jina la Ukoo kwa kumbukumbu ya Marehemu Meya.Yeye fani yake ni udereva.Winnie Israel ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Campus ya Mtwara ambaye anachukua Degree ya Elimu.
No comments:
Post a Comment