Thursday, August 7, 2014

NANE NANE

Nane nane

Maonyesho ya Nane nane-Banda Wilaya ya Ngara.

Maonyesho ya Nane nane-Banda Wilaya ya Ngara,Mkungu wa ndizi Sh. 45,000

viazi 5,000-Nane Nane Mwanza.

Maonyesho ya wakulima, Nyamhon'golo Mwanza, kiazi kimoja sh.5,000 vinapatikana bada la Wilaya ya Ngara,Mkoa wa Kagera.

Naibu Waziri Kebwe akiwa na wazee wasijiweza

NAIBU Waziri wa Afya na ustawi wa jamii, Steven Kebwe akiwa katika picha ya pamoja na wazee wenye ulemavu wa vidole, alipotembelea kambi na makazi ya wazee wasiojiweza ya Bukumbi,Yaliyoko Wilaya ya Misugwi Mkoa wa Mwanza, na kuagiza watendaji kuhakikisha wazee hao wanapata huduma ipasavyo ili wasiende mjini,waliokaa aliyeshika note book ni kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Sequtoure, Yusuph Bwire , aliyeshia kalamu ni ,Afisa Mfawidhi kituo cha wazee, Michael Bundala.
Picha Na: Eva-Sweet Musiba