NAIBU Waziri wa Afya na ustawi wa jamii, Steven Kebwe akiwa katika picha ya pamoja na wazee wenye ulemavu wa vidole, alipotembelea kambi na makazi ya wazee wasiojiweza ya Bukumbi,Yaliyoko Wilaya ya Misugwi Mkoa wa Mwanza, na kuagiza watendaji kuhakikisha wazee hao wanapata huduma ipasavyo ili wasiende mjini,waliokaa aliyeshika note book ni kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Sequtoure, Yusuph Bwire , aliyeshia kalamu ni ,Afisa Mfawidhi kituo cha wazee, Michael Bundala.
Picha Na: Eva-Sweet Musiba
No comments:
Post a Comment