Saturday, June 3, 2017
Gosol na mapambano dhidi ya Utunzaji wa Mazingira.
Mratibu wa mradi wa Shirika lisilo la kiserikali la Gosol la nchini
Finland,Heikki Lindfors kwa kushirikiana na Taasisi ya global Resource
Allience ya Madaraka Nyerere ya Mjini Musoma alitoa maelezo kwa
wananchi na waandishi wa habari waliofika katika banda la maonesho
nchini ambapo wamebuni mashine inayotumia mwanga wa jua kuoka mikate
itakayosaidia kupunguza uharibifu wa mazingira na itatoa mashine hiyo
kwa vikundi vya akina mama bure na kutoa mafunzo kwa vijana wapatao
watano ya kutengenezaji wa mashine hiyo ambayo hapo zitauzwa nchini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Global Resource Alliance - Tanzania siyo shirika langu, ni shirika lisilo la kiserikali ambalo linatoa huduma kwa jamii katika maeneo manne: 1.kuhudumia watoto yatima wanaokaribia 200; 2.kuchimba visima; 3.mradi wa mazingira wa kupanda miti na kusambaza bidhaa zinazopunguza matumizi ya mkaa; na 4.tiba mbadala kutumia mimea. Mimi ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Global Resource Alliance - Tanzania, na mjumbe wa bodi.
ReplyDelete