Tuesday, February 23, 2010

PICHA MBALIMBALI ZA WAKUBWA.

Aliyekuwa Waziri wa fedha,Mh.Bazil Pesambili Mramba akigonganisha glass na Mwandishi wa habari Bi.Eva-Sweet Musiba kama ishara ya kutakiana kheli katika uzinduzi wa bia aina ya Ndovu,iliyofanyika katika ufukwe wa ziwa victoria Yughlong,Jijini Mwanza.





Miss Tanzania akikabidhiwa bendera ya Tanzania na Mkurugenzi wa TIC kabla ya kwenda kwenye mashindano ya Urembo wa Dunia mwaka 2009,

Kajege baada ya kjushinda kesi atinga Bungeni rasmi,kajege anayeonyesha mikono alikata rufaa na kushindwa dhidi ya Mtamwega Muganywa wa Chama cha TLP.





NEC ILIYOMBATANA NA MAAFA YA WANAWAKE WACHIMBA KOKOTO












Baadhi ya miili ya akina mama walifariki dunia tarehe 15.2.2010 katika eneo la Ntyuka nje kidogo ya Mji wa Dodoma,watoto wawili na wazazi wao wawili walifukiwa na kifusi wakiwa wanachimba kokoto kwa ajili ya kuziuza kwa wakazi wa Mji w Dodoma,Jumla ya watu walifaiki ni watano wakiwemo watoto wa umri wa mwaka mmoja,kutokana na maafa hayo serikali imepipa marufuku uchimbaji wa kokoto eneo hilo ingaiowaje mpaka sasa wanaendelea kuchimba kutokana na kukosa mradi mbadala.
Picha Na:Eva-Sweet Musiba (Nilipokuwa Dodoma).
















KIKAO CHA NEC DODOMA.

Wajumbe walianza kikao kwa kuomba dua.

Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Kikwete akiomba dua ya hayati Rashid Kawawa kabla ya kuanza kikao cha NEC Mjini Dodoma,wengine ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Amani Karume,Rais Mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi na Katibu Mkuu wa CCM,Yussuf Makamba.



SPIKA wa Bunge,Mh.Samweli Sitta ,Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM
Adbulahman Kinana wakiteta jambo kabla ya kuanza Kikao cha CC na NEC.


Mwenyekiti wa kamati ya suluhu,Alhaj Ally Hassan Mwinyi akisubiri kuanza kwa kikao Mjini Dodoma.









KIAO CHA NEC MJINI DODOMA.

Mwenyekiti wa Chadema, Freman Mbowe akiwa amesika tama.

Mawaziri Wakuu,Cleopa Msuya, Fredrick Sumaye na Edward Lowasa wakiwa kwenye ukumbi wa NEC Mjini Dodoma katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM,tarehe 14/2/2010 picha Na: Eva-Sweet Musiba.
Mjumbe wa NEC Mzee Kingunge Ngombale Mwiru akijadili jambo na Waziri Mkuu Msaafu, Mh.Edward Lowasa katika ukumbi wa white House Mjini Dodoma.






Wajumbe wa NEC,kanda ya ziwa katika Chirstopher Mwita Gachuma na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Clement Mabina wakifurahia jambo pembeni ni Mh. Waziri.