Baadhi ya miili ya akina mama walifariki dunia tarehe 15.2.2010 katika eneo la Ntyuka nje kidogo ya Mji wa Dodoma,watoto wawili na wazazi wao wawili walifukiwa na kifusi wakiwa wanachimba kokoto kwa ajili ya kuziuza kwa wakazi wa Mji w Dodoma,Jumla ya watu walifaiki ni watano wakiwemo watoto wa umri wa mwaka mmoja,kutokana na maafa hayo serikali imepipa marufuku uchimbaji wa kokoto eneo hilo ingaiowaje mpaka sasa wanaendelea kuchimba kutokana na kukosa mradi mbadala.
No comments:
Post a Comment