Tuesday, February 23, 2010

KIKAO CHA NEC DODOMA.

Wajumbe walianza kikao kwa kuomba dua.

Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Kikwete akiomba dua ya hayati Rashid Kawawa kabla ya kuanza kikao cha NEC Mjini Dodoma,wengine ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Amani Karume,Rais Mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi na Katibu Mkuu wa CCM,Yussuf Makamba.



SPIKA wa Bunge,Mh.Samweli Sitta ,Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM
Adbulahman Kinana wakiteta jambo kabla ya kuanza Kikao cha CC na NEC.


Mwenyekiti wa kamati ya suluhu,Alhaj Ally Hassan Mwinyi akisubiri kuanza kwa kikao Mjini Dodoma.









No comments:

Post a Comment