Tuesday, February 23, 2010
PICHA MBALIMBALI ZA WAKUBWA.
NEC ILIYOMBATANA NA MAAFA YA WANAWAKE WACHIMBA KOKOTO
Baadhi ya miili ya akina mama walifariki dunia tarehe 15.2.2010 katika eneo la Ntyuka nje kidogo ya Mji wa Dodoma,watoto wawili na wazazi wao wawili walifukiwa na kifusi wakiwa wanachimba kokoto kwa ajili ya kuziuza kwa wakazi wa Mji w Dodoma,Jumla ya watu walifaiki ni watano wakiwemo watoto wa umri wa mwaka mmoja,kutokana na maafa hayo serikali imepipa marufuku uchimbaji wa kokoto eneo hilo ingaiowaje mpaka sasa wanaendelea kuchimba kutokana na kukosa mradi mbadala.
KIKAO CHA NEC DODOMA.
KIAO CHA NEC MJINI DODOMA.
Monday, February 22, 2010
Wednesday, December 9, 2009
CHANGES FROM ENGLISH TO KISWAHILI.
Napenda kuwajulisha kuwa kwa sasa blog yangu itakuwa kw alugha ya hadhimu ya Kiswahili ambayo ni lugha inayotumika sana katika nchi yetu Tanzania kwa kuelewana kwa ufasha zaidi kuliki lugha hii ua kigeni ya kufundishwa. Kiswahili tumezaliwa nacho,kwa hiyo ni rajisi sana kuzungumza na mtanzania mwenzako kwa ajili ya kuelewana zaidi.
Nakutakia kila la kheli karibu tuwe pamoja tena katika mijadalka mbalimbali.
Nakutakia kila la kheli karibu tuwe pamoja tena katika mijadalka mbalimbali.
Subscribe to:
Posts (Atom)



