RAIS WA KWANZA KUFIKA BUSEKELA BUKUMI MUSOMA VIJIJINI.
Baadhi ya maelfu ya wananchi waliojitokeza kusikiliza sera za Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM,Rais Jakaya Kikwete katika uwanja wa Mukendo Mjini Musoma,Jimbo la Musoma Mjini. Mgombea Ubunge pekee aliyepita bila kupingwa Nimrod Mkono, akizungumzia utekelezaji wa Ilani ya CCM,ana kuomba kura kwa chama cha CCM,nyuma yake ni Mlima Mtilo.
No comments:
Post a Comment