Tuesday, October 19, 2010

CCM MARA YAENDELEA KUIMALIKA.

MGOMBEA Ubunge kwa tiketi ya CCM,jimbo la Musoma Mjini,Vedastus Mathayo Manyinyi akimnadi Mgombea udiwani kata ya Mwigobero,Ahmad Kitumbo wakati wa kampeni zake Wilayani humo zinazoendelea.

1 comment:

  1. Yah, mambo hayo, siasa ni wakati wake huu!

    ReplyDelete