Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Mohammed Gharibu Bilal aliyevaa miwani akiiimba wimbo wa Chama cha Mapinduzi, wakati wa kikao cha Mkutano Mkuu wa nane wa Taifa wa Umoja wa Wazazi ulifanyika katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere, Chuo cha Mipango Dodoma wengine kutoka kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa CCM,Wilson Mukama na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Idd Seif,kulia kwake ni Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi, Dogo Iddi Mabrouk ambaye pia aliteteta kiti chake na Pius Msekwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara.
No comments:
Post a Comment