Mama Martha Moses Mlata(44), Capt. Mstaafu John Barongo(69) na Abdallah Majura Bulembo(51) wakiwa nje ya jengo la Chuo cha Mipango Dodoma, kabla ya kuanza Uchaguzi wao.ambapo Abdallah Majura Bulembo alinyakua kiti hicho kwa kuwatimulia vumbi wenzake,ambao hapo baadae walikataa kutia saini kukubaliana na matokeo hayo.
No comments:
Post a Comment