Wednesday, January 16, 2013

KWA KHERI DK. 'JEMBE' LA MKOA WA MARA.






MAREHEMU Joseph Nyamagwira aagwa leo nyumbani kwake Majita Road,Wilaya ya Musoma,Mkuu wa Mkoa Mara,John Tuppa aongoza mamia ya waombolezaji kuaga mwili huo kuelekea nyumbani kwao, Butata Majita,Musoma Vijijini,kwa maziko yatakayofanyika kesho.

No comments:

Post a Comment