Monday, January 21, 2013

MAREHEMU WA AJALI YA MWANZA COACH AZIKWA.

MOJA ya maiti ya Abiria aliyekuwa kwenye basi la Mwanza coach lililopata ajali wiki iliyopita amezikwa kijijini kwao Rusoli Wilaya ya Musoma vijijini( Butiama).

ROBERT MANYIRI alikuwa mfanyakazi katika Benki ya NMB akiwa Mhasibu Tawi la Mwanza,na baadae Bunda na Shinyanga.

Aliumia sana sehemu ya Kichwa ambapo alikuwa ameshomwa nyuzi.

Alikuwa safarini akitokea Musoma Mjini kwa masuala ya kifamilia,familia imepoteza kiungo muhimu,ambapo mmiliki wa blog hii alimwita Baba yake mdogo wa ukoo,Shangazi Neema Mwijarubi Nyapaulingi,Redy Abel,Modesta Abel,Nyakulindwa,Judith poleni na hayo Mungu awepe uvulivu mkubwa.

Mmiliki wa Blog hii katika msiba huo aliibiwa Simu yake aina ya SAMSUNG 5212.

No comments:

Post a Comment