Monday, August 16, 2010

MAPOKEZI YA MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CHADEMA

Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) alipopokelewa na ngoma jadi za kabila la wajita na wakwaya Mjini Musoma,katika uwanja wa ndege wa Musoma Mjini.Aliye pembeni yake ni Mzee wa chama Freeman Mbowe.


No comments:

Post a Comment