
usemi wa kweli kuwa kina mama wanaweza unaendelea kutanda,ambapo kina mama wakipiga ngoma kumkaribisha mgombea Urais kwa tiketi ya CCM,Rais Jakaya Kikwete Wilayani Geita Mkoa wa Mwanza,Jimbo la Busanda,ambapo pia alimnadi Mgombea Ubunge,Lolencia Bukwimba.

Wananchi wakisikiliza kwa makini,Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM,Rais Jakaya Halfan Mrisho Kikwete

Watoto wakimchulia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM,wakati akihutubia maelfu ya wakazi hawapo pichani Jimbo la Busanda.

Akiwa katika picha ya pamoja na walimu wa shule ya Msingi Karoto Wilaya ya Geita Mkoa wa Mwanza.

Mgombea Ubunge jimbo la Busanda,Lolencia Bukimba akiomba kura.
No comments:
Post a Comment