Friday, December 7, 2012

ZIARA YA MKUU WA MKOA WA MTWARA.

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Col. Joseph Simbakalia akiwa na watendaji mbalimbali wakati wa ziara yake ya Kikazi Mkoani kwake hivi karibuni.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Joseph Simbakalia katika ziara yake.
RC Akihutubia Wananchi hawapo pichani kuhusu Umeme Vijijini.

No comments:

Post a Comment