Chama cha waandishi wa habari Mkoa wa Mwanza (MPC),Kinatarajia kufanya mkutano wake Mkuu wa mwaka 2010/2011 tarehe 24 Septemba 2011.
Mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Chama hicho kimejiandaa kuchangia gharama za usafiri jumla ya Sh.10, 000.
Agenda zozote zinatakiwa kutumwa kwa Katibu Muhtasi kupitia barua pepe asiahamad@yahoo.com.
Ikiwa mkutano huo Mkuu unakuja Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Froha Magabe anakabiliwa na tuhuma ya kutoa lugha ya matusi kwa njia ya mtandao ya kwenye namba 0756 041686 kutoka kwenye namba yake ya kiganjani namba 0764 975666 kwa alikuwa Mjumbe wa Bodi wa Chama hicho ambaye kwa sasa hana uongozi katika Chama hicho.
Makamu huyo alikamatwa tarehe 10 Septemba mwaka huu na RB namba yake ni MW/RB/8290/2011.
Awali alitishia kwa maneno na kutolewa taarifa katika kituo cha kati cha Jiji la Mwanza yenye namba MW/RB/8132/2011 TAARIFA iliyoandikwa na askari Yahaya.
Kesi hiyo bado iko chini ya Ofisi ya OC- CID ikipelezwa na Mpelelezi Deo Masatu.
No comments:
Post a Comment