Friday, September 16, 2011

ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOANI MARA.

WAZIRI MKUU ataendelea na ziara yake ambapo atakagua kituo cha afya cha Mrangi kilichoko Musoma Vijijini na kuweka jiwe la Msingi jengo la upasuaji,sambamba na hilo atakwenda shule ya sekondari Kasoma na atapokea taarifa ya maandalizi ya kidato cha tano, na kukagua majengo, na kufungua Bweni/Hostel ya wanafunzi.

Ataelekea kijiji cha Suguti na kukagua kituo cha Butiama Art ificial Insermination center.
ambapo baadae atakwenda kwenye kaburi la baba wa Taifa,Mwalimu Julius Nyerere na kuweka shada la maua na kuisalimia familia ya Baba wa Taifa.Septemba 19 ataelekea Wilaya ya Bunda.

No comments:

Post a Comment