Monday, September 12, 2011

MH. PINDA KUWASILI SEPT 16 MARA

Ziara ya Waziri Mkuu, Mizengo kayanza Peter Pinda, Mkoa wa Mara imehairishwa kwa mara nyingine tena.

Habari za uchunguzi kutoka blog hii zimedhibitisha kuhairisha kwa mara kwa mara ziara yake kwa sababu zisizo julikana.

Ziara hiyo awali ilipangwa kuwa 11 Sept 2011, na ikabilishwa tena kuwa tarehe,14 Sept,na ikabadilishwa tena na kuwa tarehe 16.

Waziri Mkuu atakuwa na ziara ya wiki nzima Mkoa wa Mara ambapo atakagua miradi mbalimbali ya Maendeleo.

No comments:

Post a Comment