Sunday, September 18, 2011

MBUNGE WA TARIME ATOA AHADI YA VITABU

MBUNGE wa Jimbo la Tarime, Nyambari Nyagwine akitoa hotuba katika mahafali ya kwanza ya Shule ya Sekondari ya Paroma iliyoko kata ya Bweri katika Manispaa ya Musoma ambapo alihaidi kutoa vitabu vyenye thamani ya Sh. Milioni 10.

Aliahidi pia kutoa vitabu katika Shule ya Sekondari ya Kasoma mbele ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye yuko ziarani Mkoa wa Mara.

No comments:

Post a Comment