Naibu Waziri wa Maji. Eng.Dk. Binilith Mahenge akimsikiliza Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere alipowasili kijijini kwake Mwitongo,kuzuru kaburi la Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere,ambpo pia alikuwa katika ziara ya wiki Moja Mkoani Mara kuangalia Maendeleo ya miradi ya Maji.
No comments:
Post a Comment